DJ Mkongwe Duniani Ray Cordeiro, Astaafu Akiwa na Umri wa Miaka 96
- Cordeiro mwenye umri wa miaka 96, aliandaa kipindi chake cha mwisho Jumamosi, Mei 15, usiku ambapo aliwashukuru mashabiki wake - kipindi chake cha All The Way With Ray kimekuwa kikipeperushwa kupitia kituo cha kitaifa cha Hong Kong, RTHK tangu mwaka 1970