Mama mzazi wa Peter Kenneth Rahab Wambui ameaga dunia

Posted by Martina Birk on Friday, August 2, 2024

Mama mzazi wa aliyekuwa mwaniaji wa kiti cha urais Peter Kenneth ameaga dunia.

Kulingana na familia ya marehemu, Rahab Wambui alipoteza uhai wake mapema Alhamisi, Julai 18, aipokuwa akitibiwa katika Hospitali ya Aga Khan jijini.

Mengi kufuatia…

Chanzo: TUKO.co.ke

ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2BvzmeinmdjZn1zgpNmpJqlkWK6u63ZomSwmV2lsrWx0WainqaemsGpecCmnJqfkWKxtrrImmWhrJ2h