Picha 18 za kuvutia za sosholaiti Mishi Dorah na mpenzi wake

Posted by Reinaldo Massengill on Wednesday, September 18, 2024

-Mishi Dorah alimtambulisha mpenzi wake kwa umma hivi majuzi na amekuwa akichapisha picha za kupendeza mitandaoni wakiwa pamoja

-Mishi amekuwa akijivunia mpenzi wake tangu alipokutana naye na wawili hao wamekuwa tamanio kwa wapenzi wengi humu nchini

- TUKO.co.ke iliweza kukuandalia picha murwa za wawili hao wakistarehe katika sehemu mbali mbali za nchi na bila shaka utafurahia

Mwigizaji maarufu wa filamu ya Nairobi Diaries Mishi Dorah aliposwa hivi majuzi na mpenzi wake wa dhati, Ciggie.

Habari Nyingine: Picha za utani kuhusu jamaa aliyedaiwa kushiriki ngono na wabunge 13 wa kike

Mishi amekuwa akiweka picha zake na mpenzi wake kwenye mitandao ya kijamii wakijivinjari pamoja na kwa kweli wanapendeza sana.

Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka

TUKO.co.ke iliweza kuzuru kurasa zao na kukutana na picha za kuvutia zilizoashiria kwamba wawili hao wamezama katika bahari la mapenzi.

Habari Nyingine: Picha 18 za dadaye sosholaiti Corazon Kwamboka zitakudondosha mate kwa umbo lake la kutamanika

Itakumbukwa kuwa Mishi mwenyewe aliwahi dai kuwa Ciggie ni baba wa mtoto wa Dj Pierra na hatikisiki kumnyang'anya kwani ashapata kipendacho roho.

Habari Nyingine: Lazima ‘nionje’ mpenzi wangu kabla ya ndoa-mwigizaji asema

Habari Nyingine: Ujumbe wa Zari kwa Akothee siku yake ya kuzaliwa wazua midahalo mitandaoni

Read: ENGLISH VERSION

Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke

Tazama habari zaidi kutoka TUKO.co.ke

Subscribe to watch new videos

Chanzo: TUKO.co.ke

ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2BvzmeinmdibH51fJJmp6KbmJZ6coSMs5hmo6WrwrW1wGaxmmWjpMCpu8uaoK2hXaK2tLTIZpuoqpGdeq%2BtjKannqaqnnq4rcqeZaGsnaE%3D