Majonzi na huzuni huku jina kubwa katika burudani nchini, Big Kev, akizikwa (Picha)

Posted by Jenniffer Sheldon on Friday, September 20, 2024

-Marehemu big Kev alifariki Julai 29 baada ya kuugua kwa muda mrefu kutokana na saratani ya ubongo

-Big Kev alizikwa nyumbani kwake kaunti ya Kisumu Jumamosi Agosti 5

-Wasanii kadhaa walihudhuria mazishi yake

Aliyekuwa mwanzilishi wa kampuni ya burudani ,TruBlaq,Kevin Ombajo ama kwa jina la usanii Big Kev alizikwa Jumamosi Agosti 5,nyumbani kwake kaunti ya Kisumu.

Habari Nyingine: Mtangazaji Talia Oyando aonekana nusu uchi hewani na kuzua mdahalo mitandaoni (Picha)

Habari Nyingine: Picha ya Diamond platinumz akiwa mchanga itakuacha kinywa wazi

Big kev alifariki Julai 29,baada ya kuugua kwa muda mrefu kutokana na ugonjwa wa saratani ya ubongo.

Kev anasemekana kufanyiwa upasuaji mara 15 lakini hali yake ya afya ilizidi kudhoofika na hata kumpelekea kuwa kipofu.

Habari Nyingine: NASA wakiuka amri ya Matiang’i na kusisitiza watalinda kura za Raila

Wasanii kadhaa walihudhuria mazishi ya mwendazake Big Kev.

Rais Uhuru Kenyatta alituma rambi rambi zake ambazo zilisomwa wakati wa mazishi.

Big kev amemuacha mjane,Tracy Mwende na binti mmoja aliyetaja kwa jina moja,Shana.

Read ENGLISH VERSION

Una maoni?Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke

Chanzo: TUKO.co.ke

ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2BvzmeinmdiaYV4gZJmpJqin6PHqnnNmmShraqqu6p5x66irmWanruiecqumbCZXaCutbXKmmSbraKqsaK6yGalnKCZo7ZursigZKSdpmKurLXZoqKwmV2ltm%2B006aj